• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

UHAMASISHAJI KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO

Posted on: March 2nd, 2019

MBUNGE wa Korogwe Vijijini Timotheo Mzava akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani ambapo amehimiza suala la ukusanyaji mapato akisisitiza Wazabuni kutoachwa peke yao katika ukusanyaji badala yake watendaji na viongozi wahusike. Ili kuhakikisha halmashauri inafikia malengo yake ya ukusanyaji katika mwaka huu wa fedha ni lazima watendaji na viongozi wahusike katika swala zima la ukusanyaji wa mapato. Pia aliwasisitizia watumishi kubuni vyanzo vipya vya mapato kwa ajili ya kuongeza mapato kuliko kutegemea tu vyanzo vilivyopo sasa hivi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 03, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • TUKASIMAMIE MAPATO YA HALMASHAURI KWA KUSHIRIKIANA NA WATAALAM

    December 04, 2025
  • TUKASIMAMIE MAPATO YA HALMASHAURI KWA KUSHIRIKIANA NA WATAALAM

    December 04, 2025
  • Ubunifu na Mbinu za Bora Kuchochea maendeleo ya Elimu Halmashauri ya wilaya Korogwe

    December 03, 2025
  • TAASISI YA BRAC YAWEZESHA VIJANA KOROGWE KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    November 26, 2025
  • View All

Video

Historia ya kijiji cha Kiloza
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa