• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

UHAMASISHAJI UJENZI WA MADARASA

Posted on: December 13th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mh. Kissa Gwakisa akishirikiana na wananchi na watumishi katika zoezi la msaragambo kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika shule ya Sekondari Buna.Zoezi hilo ni maalum na endelevu kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule zote za sekondari katika wilaya ya korogwe ambapo takribani jumla ya vyumba vya madarasa thelathini vinahitajika kwa ajili ya kutatua upungungufu wa vyumba vya madarasa. Pia harambee ilifanyika kwa ajili ya kupata fedha kwa ajili ya ujenzi huu wa madarasa.  " MAZINGIRA RAFIKI YA KUSOMA YATAWAFIKISHA KWENYE DARAJA LA MAFANIKIO, TUWASHIKE MKONO, TUWAVUSHE."

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025 July 03, 2025
  • ORODHA YA MAJINA KUITWA KWENYE SEMINA YA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 31, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI KWA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 22, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya Bw. Burhan Ngulungu ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO`s) kufuata taratibu na Sheria

    July 01, 2025
  • Shule za Msingi Korogwe zanufaika na Mradi wa uhifadhi Mazingira na Shule bora

    June 24, 2025
  • Shilingi Million 237,396,000 kuwanyanyua kiuchumi wakazi wa Korogwe Vijijini,

    June 20, 2025
  • Wataalamu Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Wahusiwa kuisimamia Halmashauri kwa uadilifu

    June 19, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa