Picha ya pamoja wapo Viongozi kutoka wizara ya afya na wale wa wilaya ya Korogwe baada ya kikao cha kujengeana uwezo kuhusu chanjo. Sio chanjo pekee ilijadiliwa kwenye kikao hiki lakini pia mambo mbalimbali yaliyolenga kuboresha afya yamejadiliwa.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa