• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari

WAZIRI AELEKEZA UJENZI WA HOSPITALI UANZE

Posted on: November 11th, 2018

Waziri ORTAMISEMI Mh. Selemani Jaffo  amewaasa wanasiasa kuacha kuvutani wapi itajengwa hospitali ya Wilaya. Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kutembelea eneo mojawapo la Makayuni kati ya matatu yaliyokuwa yametengwa. Mara baada ya kujionea eneo la Makuyuni Mh. Jaffo ameelekeza hospitali hiyo ijengwe katika eneo hilo na sababu kubwa aliyoitoa, eneo hilo lipo katika barabara kuu  ya MOSHI - DAR ES SALAAM  hivyo ni rahisi kuhudumia wananchi mbalimbali pindi tatizo linapotokea. Pia ni rahisi kwa watu wa Simanjiro na hata wa Same kupata matibabu katika hospitali hii hivyo basi ameelekeza hospitali hiyo ijengwe katika eneo hilo na maandalizi ya awali yanatakiwa yaanze mara moja. Pia ametaka kituo cha Afya Cha Magoma Kuboreshwa zaidi ili kiweze kutoa huduma zote kama za upasuaji kurahisisha huduma kwa watu wa tarafa za Magoma na hata wa Bungu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI February 01, 2019
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA NA MASHAMBA January 30, 2019
  • Mapokezi ya Fedha za Ujenzi wa kituo cha Afya February 11, 2018
  • TANGAZO KWA WATUMISHI November 05, 2018
  • View All

Habari Mpya

  • Ujenzi wa mradi wa maji Kijiji cha Mkokola kwa umeme wa jua

    February 12, 2019
  • UHAMASISHAJI UJENZI WA MADARASA

    December 13, 2018
  • KIKAO CHA MH MBUNGE NA WATUMISHI

    November 21, 2018
  • WAZIRI AELEKEZA UJENZI WA HOSPITALI UANZE

    November 11, 2018
  • View All

Video

Uhamasishaji Ujenzi wa Madarasa
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Acadooghostwriter.com

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa