• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

FURSA YA UWEKEZAJI KOROGWE

Start Date: 2017-08-23
End Date: 0000-00-00

Halmashauri  ya Wilaya Korogwe

Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe imetambua maeneo mahususi kwa ajili ya uwekezaji baaada ya kufanya utafiti wa kina kwenye maeneo kadhaa, Maeneo yaliyotengwa ni Mombo, Mswaha, Mkomazi, na Bwiko.

Hekta 19,286 zinapatikana na zinafaa kwa umwagiliaji na hekta 13,416 zinahitajika kuwekewa miundombinu ya umwagiliaji, Kati ya Hekta 1,000 zilizopo katika bonde la Mafuleta zinazofaa kwa umwagiliaji ni Hekta 500 tu zenye miundombinu na zinatumika kwa uzalishaji na wakulima wadogo.

Mwonekano mzuri na uoto uliopo katika Safu za Milima ya Usambara pamoja na mabonde yenye kuvutia ya Mto Pangani pamoja na upatikanaji wa wanyama mbalimbali vinafanya kuwepo kwa fursa nyingi za kuvutia watalii nakuhitaji uwekezaji zaidi katika sekta hiyo.

Pia fursa ya uwekezaji katika misitu inayopatikana inafaa zaidi kwa ufugaji wa Nyuki. Uwekezeji katika uchimabaji wa madini aina ya gemstone na madini ya viwandani vitakavyo saidia kuchochea maendeleo ya wanakorogwe na taifa kwa ujumla.

Uwepo wa hali nzuri ya hewa na nguvu kazi yakutosha inaifanya kuwa sehemu nyeti yauwekezaji katika Kilimo, Ufugaji, Uchimbaji Madini, Utalii na Biashara.

Baadhi ya maeneo hayajawahi kufanyiwa kazi hasa katika kilimo, uchimbaji na utalii sehemu ambazo zitakuwa ni ardhi yenye uzalishaji chanya kwa wawekezaji watakao wekeza katika maeneo hayo.

Hapana wasiwasi katika swala la soko kwa mazao  yatakayopatikana, kwani soko linapatikana ndani ya wilaya, mikoa jirani ya Kilimanjaro, Arusha, Pwani na Dar es Salaam.

alkadhalika mazao kama mpunga yanaweza kuuzwa nchi za jirani kama Kenya na Uganda, Mchele unaweza kuuzwa kwa wingi kwenye taasisi kama Mashule, Vyuo, Magereza na Jeshi la Kujenga Taifa.

Walengwa katika uwekezaji ni wanajamii wote wa ndani na nje ya korogwe, wafanyabiashara na taasisi, Kwa upande wa uwekezaji katika kilimo, wanahitajika wakulima wa mashamba makubwa ya mpunga na ujenzi wa miundombinu kwa maeneo ambayo hayajaendelezwa na yanafaa kwa kilimo (umwagiliaji).


Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025 July 03, 2025
  • ORODHA YA MAJINA KUITWA KWENYE SEMINA YA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 31, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI KWA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 22, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya Bw. Burhan Ngulungu ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO`s) kufuata taratibu na Sheria

    July 01, 2025
  • Shule za Msingi Korogwe zanufaika na Mradi wa uhifadhi Mazingira na Shule bora

    June 24, 2025
  • Shilingi Million 237,396,000 kuwanyanyua kiuchumi wakazi wa Korogwe Vijijini,

    June 20, 2025
  • Wataalamu Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Wahusiwa kuisimamia Halmashauri kwa uadilifu

    June 19, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa