Kutoa huhuma ya maji safi na salama kwa wananchi vijijini.
kuwapatia wananchi vyanzo mbalimbali vya maji kama vile miradi ya maji bomba, visima virefu na visima vifupi.
kuelezea muongozo wa wizara ya maji juu ya uendeshaji vyombo vya watumiaji maji.
Kutoa elimu kwa wananchi na (kamati za maji) kuhusu SERA YA MAJI YA MWAKA 2002, SHERIA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA NA.12 YA MWAKA 2009 kuhusiana na usimamizi na uendeshaji miradi ya maji.