• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI LAPONGEZA MENEJIMENTI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KOROGWE KATIKA MAKUSANYO YA MAPATO

Posted on: February 3rd, 2026

Pongezi hizo zimetolewa na Waheshimwa Madiwani wakati wa Baraza la kujadili Bajeti ya mwaka 2026-2027 lilifanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika ukumbi katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya korogwe uliyopo Makuyuni.

Katika Baraza hilo lililoudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe.Wiliam Mwakilema,Afisa Tarafa ya Mombo Ndg. Alex Mhando,Wataalamu wa Halmsahauri,TARURA,RUWASA na Wageni mbalimbali.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Mhe.Selemani Mwongozo Aliwapitisha Washeshimiwa Madiwani katika bajeti hiyo kisha kuridhia kupitisha bajeti hiyo.

Sambamba na kupitisha Bajeti hiyo Mhe.Mwongozo alikaribisha maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wakala wa barabara za Vijijini (TARURA) na Mamlaka ya Maji RUWASA ambapo Waheshimiwa Madiwani waliuliza maswali mbalimbali na kutoa maoni juu ya huduma zinazotolewa na taasisi hizo.

Aidha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mwakilema alipata nafasi ya kuzungumza ambapo alitoa maelekezo juu ya Mpango wa suala la Bima ya Afya kwa wote ambapo utagharimu shilingi 150,000 kwa watu sita ikilenga kuwanufaisha Wananchi wote kwa ujumla.Pia Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alisisitiza suala la kutunza mazingira katika vyanzo vya maji ili kundokana Na upungufu wa Maji unaowakabili Wananchi kwa sasa.Vile vile Mhe. Mwakilema alisisitiza suala la kulinda usalama  ambapo kila Raia anajukumu la kulinda usalama wa Nchi.

   

  

  

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI January 18, 2026
  • View All

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI LAPONGEZA MENEJIMENTI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KOROGWE KATIKA MAKUSANYO YA MAPATO

    February 03, 2026
  • MAPATO YASIMAMIWE IPASAVYO KUFIKIA MALENGO YA HALMASHAURI

    January 15, 2026
  • SIMAMIENI MIRADI IKAMILIKE KWA WAKATI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI

    January 14, 2026
  • TUFANYE KAZI KWA WELEDI KUINUA WILAYA YETU KIELIMU

    January 06, 2026
  • View All

Video

Historia ya kijiji cha Kiloza
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa