• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA USHAURI YA WILAYA YA KOROGWE (DCC),YATOA MAONI DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2025

Posted on: July 23rd, 2024

KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Korogwe (DCC), Ikiongozwa na  Mwenyekiti wake, Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mhe. William Mwakilema, leo tarehe 23/7/2024 imetoa maoni kwenye maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025 katika kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe.

Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na Kamati ya Usalama ya Wilaya, Viongozi wa dini kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji wa Korogwe , watu maarufu, wakuu wa taasisi za umma, viongozi wa vyama vya siasa, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya na Mji pamoja na wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri zote za Wilaya ya Korogwe.

Mhe. William Mwakilema  aliwashukuru washiriki wote kwa kufika wakati wa kufungua kikao hicho na kuwaeleza kwamba kupitia kikao hicho kuna umuhimu mkubwa wa kuonyesha ni matarajio yapi wanatamani kufikia katika wilaya ya Korogwe katika utekelezaji wa miaka 25 ijayo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI KWA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 22, 2025
  • ORODHA YA MAJINA KUITWA KWENYE SEMINA YA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 31, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA SAMIA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA KOROGWE

    May 13, 2025
  • Kheri ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    April 26, 2025
  • KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    April 25, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA PASAKA

    April 20, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa