Timu ya Wataalamu Wa ardhi walivyotembelea Kijiji cha Madala Kata ya Chekelei Kwaajili ya Kutatua Migogoro ya Ardhi iliyopo katika kijiji hicho.Aidha wananchi wa kijiji hicho wametoa kero zao kwenye mkutano wa wanakijiji na Wataalamu kuhusu migogoro ya ardhi baina ya wafugaji na wakulima katika kijiji hicho.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa