MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI.
KUANZIA AGOSTI 01 HADI 7, 2024
WANANCHI WOTE MARIBISHWA MPATE ELIMU YA LISHE BORA YA MTOTO NA KUENDELEZA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA KATIKA VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA YA AFYA
KAULI MBIU: "Ziba Pengo; Saidia Unyonyeshaji kwa Wote"
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa