• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

WAJASILIAMALI WAHIMIZWA KUTUMIA MIKOPO KULINGANA NA MPANGO WA MATUMIZI WA MIKOPO HIYO

Posted on: January 14th, 2025

Vikundi 13 vya wajasiliamali katika halmashauri ya Wilaya ya Korogwe wapata mafunzo ya matumizi bora ya  Mkopo wa asilimia 10.Mafunzo hayo yameanza leo tarehe  14.01.2025 ambapo  yatadumu kwa muda wa siku mbili kabla ya kupatiwa mikopo hiyo.

Aidha katika mafunzo wanavikundi wamesisitizwa kuwa waaminifu ili kufanikisha kurudisha mikopo hiyo kwa wakati na kuwa na ushirikiano kwa wataalamu wa Halmashauri pindi wanapofuatilia maendeleo ya vikundi hivyo.

Wawakilishi wa vikundi wamesema wanaishukuru serikali ya awamu ya sita na Hamashauri ya Wilaya ya Korogwe kwa kuandaa mafunzo hayo ili kuweza kupata uwanda mpana wa namna ya kufanya matumizi bora ya mikopo hiyo ili kuendesha vikundi vyao kwa weledi na kufikia malengo ambayo wamejiwekea kwenye vikundi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI KWA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 22, 2025
  • ORODHA YA MAJINA KUITWA KWENYE SEMINA YA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 31, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA WA SAMIA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA KOROGWE

    May 13, 2025
  • Kheri ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    April 26, 2025
  • KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    April 25, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA PASAKA

    April 20, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa