Pichani aliyesimama ni Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wa Wilaya ya Korogwe, Yohana Sekimweri akiwa na Mtendaji wa Kijiji cha Mgila Omari Robert Mbwambo. Ni wakati walipokuwa kwenye zoezi maalum la kuwaingiza walengwa wa kuhudumia kaya maskini kwenye utaratibu wakupata kadi za CHF ili kuweza kupata matibabu kirahisi pindi wanapougua, Kaya 43 tayari zimejihakikishia kupata matibabu pindi dharura ya ugonjwa itakapotokea.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa