Halmashauriyawilaya ya Korogwe ina kitengo cha ugavi ambacho kimeundwa kulingana na nasheria yaManunuzi ya mwaka 2004 na kanuni za 2005,kifungu cha sheria Na.34,katika kilataasisi za Umma lazima kuwepo na kitengo cha Manunuzi na Ugavi.
- Kitengo chaununuzi na Ugavikinaundwa na wataalamu wa ununuzi na ugavi pamoja na wataalam wengine wenyeujuzi mbalimbali (The procurement Management Unit shall consistof procurementand other technical specialists together with the necessarysupporting andadministrative staff).
Mkuu waKitengo chaununuzi na Ugavi ana sifa za kutosha kuendeshakitengo hiki
MAJUKUMUYA KITENGO CHA UNUNUZI NA UGAVI
- Kusimamia shughulizotezinazohusiana na ununuzi na Ugavi katika Taasisi husika.
- Kusaidiautekelezaji wa kazi zabodi ya Zabuni.
- Kutekeleza maamuziya bodi yaZabuni.
- Ni sekretarieti yabodi ya Zabuni.
- Kuandaa na kupitiaorodha yamahitaji.
- Kuandaa nyaraka zaZabuni.
- Kuandaa matangazoya Zabuni.
- Kuandaa nyaraka zaMikataba.
- Kutoa mikatabakwawakandarasi/Wazabuni baada ya kusaini.
- Kuandaa taarifa yakila mwezi yabodi ya Zabuni.
- Kuandaa taarifazingine kwa wakatihusika.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa