• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

Fedha na biashara

Idara ya Fedha na Biashara

Majukumuya Idara

  • Kutoa mafunzo kwa watumishi sita juu ya taaluma ya kukusanya mapato
  • Kuandaa taarifa ya kila siku ya mapato
  • Kuweka  stakabadhi za mapato Katika kitabu cha mapato kwa kutumia mfumo wa EPICOR
  • Kuandaa  rejesta za walipa kodi
  • Kufanya utafiti wa kujua vyanzo vingine vya mapato kwa lengo la kupanua wigo wa     mapato.    
  • Kufanya mapitio ya Sheria ndogo ndogo za mapato.
  • Kuandaa  malipo ya kila siku na kuyaweka kwenye kitabu cha malipo kwa kutumia mfumo     wa Epicor
  • Kutunza vocha za malipo zikiwa zimeambatanishwa na vielelezo vyake kwa Wakati     muafaka.    
  • Kuandaa malipo kwa watumishi, watoa huduma kwa wakati.
  • Kutoa mafunzo kwa watumishi kwa ngazi ya D-F
  • Kuandaa taarifa za hesabu za fedha za kila mwezi, robo mwaka na mwaka mzima.
  • Kuandaa taarifa za fedha na bajeti .


Biashara

  • Kununua vifaa vya kutosha (vitendea kazi)
  • Kutoa mafunzo kwa wakufunzi (ToT)
  • Kutoa mafunzo kwa wajasiliamali
  • Kutoa leseni za vileo
  • Kukusanya ushuru wa hoteli kwa wakati
  • Kukagua maeneo ya biashara kama vile baa, nyumba     za kulala wageni.
  • Kuandaa semina kwa wadau
  • Kutoa elimu kwa umma kupitia vyombo vya habari
  • Kutoa mafunzo kwa Maafisa Watendaji wa Kata na viongozi wa Mitaa kuhusu taratibu     za kupata leseni.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI KWA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 22, 2025
  • ORODHA YA MAJINA KUITWA KWENYE SEMINA YA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 31, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • Kheri ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    April 26, 2025
  • KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    April 25, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA PASAKA

    April 20, 2025
  • WAKAZI WA KOROGWE WAASWA KUTUNZA MISITU

    March 27, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa