Posted on: December 3rd, 2025
Na Omary Mwinjuma
Waratibu elimu na Walimu waandelea kunolewa kuongeza mbinu bora za ujifunzaji na ufundishaji ili kuongeza za ufaulu wa wanafunzi wa shule za msingi kupitia programu ya Shule bora ...
Posted on: November 26th, 2025
Taasisi hiyo imesema hayo wakati wa kikao kupitia idara ya maendeleo ya jamii ambapo imewasilisha mpango kazi wa shughuli ambazo zinatekelezwa kwenye jamii.
Halfa hiyo ilihudhuriwa na Afisa Tarafa ...
Posted on: November 25th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe.William Mwakilema ameipongeza Halmashauri kwa kusimamia lishe huku akihimiza jamii kuzingatia lishe bora ili kuweza kuwa na afya njema kuepukana na maradhi ya utapia mlo ...