Kusimamia na kuendesha/kufanya upimaji wa utendaji kazi wa watumishi kwa mijibu ya sera ya menejimenti ya ajira
Kusimamia ,kutafsiri na kuzingatia sera ,kanuni na taratibu za mafunzo ya kiutumishi kama zilivyo idhinishwa na serikali na kushiriki katika kutoa mafunzo mbalimbali
Kuwa mratibu wa mafunzo na kiungo kati ya idara kuu ya Utumishi wizra,idara zinazojitegenea na mikoa katika mswala ya mafunzo na utumishi
Kutathimini mipango ya mafunzo ili kupma mafanikio au kutofanikiawa na kushauri katika marekebisho yanayohitajika
Kuhuisha mipamgo ya mafunzo nq au ilr ya mazimgira kwa shabah ya kuipaa mwelekeo unaozingatia mazingira ya kazi .haja ni kuwa na mipango inayolenga na kuna mbele zaidi
Kusimamia kazi zote za kiutumishi akiwa ni mkuu wa sehemu za watumishi
Kupanga na kuendesha utafiti kuhusu mahitaji ya watumishi na upatikanaji wa watumishi ili kuweza kuoanisha uwezo wa kifedha na mahitaji ya ofisi
Kuanisha na kutoa ushauri kuhusu mahitaji ya mpango bora wa mahitaji ya watumishii
Kutunza na kuboresha takwimu za mahitaji ya watumishi kutegemea mahali alipo
Kuwa msamizi mkuu wa nidhamu mahali/sehemu ya kazi