DIRA:
Kuona kwamba watu wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe wamepata maisha bora na kujenga uchumi imara na wao wenyewe wameelimika na kupata huduma bora za msingi na kufanya maamuzi kwa misingi ya utawala bora na demokrasia ifikapo mwaka 2025.
DHAMIRA:
Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe imedhamiria kutoa huduma bora za msingi, kujenga jamii iliyoelimika, uchumi imara unaohimili ushindani na kutoa maamuzi kwa misingi ya utawala bora ili kupunguza umaskini ifikapo mwaka 2025”.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa