• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2019

Posted on: June 29th, 2019

Mwaka 2019 Mwenge wa Uhuru umepokelewa na kukimbizwa umbali wa kilomita 154.6 katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na umepitia miradi (5), Elimu 1, Mazingira 1, Maendeleo ya Jamii (vijana) 1, Kilimo na Ushirika 1 na Maji 1. Miradi hii imefikia hatua mbalimbali za utekelezaji ambapo mradi 1 wa Elimu umekaguliwa,mradi 1 wa Maji umefunguliwa, mradi 1 wa Mazingira umezinduliwa, mradi 1 wa Vijana umekaguliwa na mradi 1 wa Kilimo na Ushirika umewekewa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Ushirika na kutembelea zana za Kilimo. Miradi hii ina thamani ya Tshs 441,433,800/=, kama mchanganuo unavyoonesha katika jedwali;

MCHANGANUO WA FEDHA ZA MIRADI

NA
CHANZO
GHARAMA
1
Serikali kuu
                                                           96,600,000
2
Halmashauri
                                                           31,700,000
3
Nguvu za Wananchi
                                                           34,583,600
4
Wadau/Wahisani
                                                         278,550,200
 
Jumla
                                                          441,433,800                                                         

 

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025 July 03, 2025
  • ORODHA YA MAJINA KUITWA KWENYE SEMINA YA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 31, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI KWA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BIYOMETRIKI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA January 22, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya Bw. Burhan Ngulungu ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO`s) kufuata taratibu na Sheria

    July 01, 2025
  • Shule za Msingi Korogwe zanufaika na Mradi wa uhifadhi Mazingira na Shule bora

    June 24, 2025
  • Shilingi Million 237,396,000 kuwanyanyua kiuchumi wakazi wa Korogwe Vijijini,

    June 20, 2025
  • Wataalamu Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Wahusiwa kuisimamia Halmashauri kwa uadilifu

    June 19, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa