Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe uliyopo Makuyuni kikilenga kwenda kutatua changamoto za Magonjwa ya Mifugo Korogwe.
Muwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Ndugu.Yusuph Jengela aliwasihi wataalamu hao kuwaelimisha Wafugaji umuhimu wa chanjo hizo na kuzitumia kwa usahihi ili kuweza kuwanufaisha na kuinua uchumi wa taifa.
Uzinduzi huu unaenda sambamba na zoezi la Utambuzi wa Mifugo nchini.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa