Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe Mhe.Selemani Mwongozo amewataka wataalamu wa Halmashauri kubuni na kusimamia vyanzo vya mapato ili kuweza kufikia malengo ya halmashauri kulingana na Bajeti.Mhe Mwongozi ameyasema haya wakati wa Baraza maalum kujadili na kupitisha mapendekezo ya bajeti ya Halmashauri 2025/2026 ambapo menejimenti ikifanya maboresho ya bajeti hiyo.

Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa