Afisa Mwandikishaji wa daftari la kudumu la Mpigakura wa jimbo la Korogwe anawatangazia Waombaji wote waliochaguliwa kuitwa kwenye usaiji utakaofanyika tarehe 25/01/2025 Jumamosi katika ukumbi wa Chuo cha ualimu Korogwe (TTC) kuanzia saa 2:00 asubuhi
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa