Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ina eneo la hekta 142,672 ya eneo lote la Wilaya linalofaa kwa malisho. Aidha eneo la ukubwa wa hekta 42,080 ni eneo lililotengwa na vijiji kwa ajili ya malisho na eneo lililobaki la hekta 100,592 ni kwaajili ya malisho huria. Sekta ya mifugo huchukua nafasi ya pili kwa umuhimu kiuchumi kwa wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe baada ya sekta ya kilimo. Mifugo muhimu iliyopo katika Halmashauri hii ya Korogwe ni pamoja na ng’ombe wa asili na wa maziwa, mbuzi wa asili, kondoo, kuku, bata, sungura, nguruwe na mbuzi wa maziwa kwa idadi ndogo. aidha kwa miaka 5 iliyopita mifugo imekuwa ikiongezeka kama ifuatavyo:-
Mwaka
|
Aina
|
MIFUGO
|
||||||||
|
|
Ng’ombe
|
Mbuzi
|
kondoo
|
kuku
|
Nguruwe
|
Bata
|
sungura
|
mbwa
|
paka
|
2010/2020
|
KISASA
|
6,050
|
842
|
0
|
1550
|
|
|
|
|
|
KIENYEJI
|
77,265
|
54,064
|
18,553
|
142,000
|
3,165
|
36,580
|
2920
|
2857
|
3107
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
JUMLA
|
84315
|
54906
|
18,553
|
297,000
|
3,165
|
36,580
|
2920
|
2857
|
3107
|
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa