Hili ni moja ya zao ambalo linalimwa katika maeneo mengi katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe kufanya kuwa wazalishaji wakubwa wa zao la Mkonge katika mkoa wa Tanga ambapo zao hili linalimwa katika maeneo ya Kata za Mombo, Chekelei, Mazinde, Mkumbara, Magamba Kwalukonge, Kwashemshi, Mswaha, Hale na Magoma.
Uzalishaji wa zao hili hufanywa na Mashirika mbalimbali pamoja na watu binafsi ambapo huvuna na kuchakata kisha kuuza nyuzi za zao hilo kwa wanunuzi mbalimbali.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa