Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Ndugu. David Mpumilwa akikabidhiwa madarasa matatu(03) na Matundu ya Vyoo kumi na sita (16) katika shule ya Msingi Shalaka iliyopo kata ya Mlungui,Madarasa hayo yamejengwa chini ya Ufadhili wa A Better world Canada.Ujenzi wa madarasa hayo na vyoo yametatua changamoto zilizokuwa zikiwakabili wanafunzi na walimu wa shule hiyo ambapo inategemewa kuongeza ufaulu wa shule hiyo baada ya changamoto kufanyiwa kazi.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa