Kuelekea ujio wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania wanakorogwe wanafanya matembezi kuhamasisha mapokezi ya Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Matembezi hayo yamefanyika kuzunguka mitaa ya Korogwe mjini yakiongozwa na mkuu wa wilaya Mhe.Wiliam Mwakilema,Wabunge wa Korogwe Mji na Korogwe Vijijini,Katibu UWT,Jokate Mwegelo na katibu tawala wa wilaya ya Korogwe.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa