Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Batilda Buriani aongozana na Wakuu wa wilaya ya Korogwe na Lushoto Mhe.Wiliam Mwakilema na Mhe. Zephania Sumaye pamoja na Mkurugenzi wa wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Wakili.Goodluck Mwangomango akifanya Ziara katika kiwanja cha ndege kilichopo eneo la Mlembule Kata ya Mombo.Mhe Batilda ametembelea kiwanja hicho katika mikakati ya kuendelea kufungua uchumi wa Mkoa wa Tanga,kiwanja hicho kikitarajiwa kuchagiza maendeleo uchumi na hasa utalii kwa wilaya ya Korogwe na Lushoto.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa