Kuelekea maadhimisho ya Miaka 61 ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania Watumishi na wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe washiriki zoezi la upandaji wa miti katika Shule mpya ya Sekondari ya Amali Makuyuni.
Zoezi hilo la upandaji wa Miti liliudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwemo kisiasa na kiserikali wakishiriki wakati Mkuu wa Wilaya ya korogwe Mhe.William Mwakilema akiongozana na katibu tawala Wilaya Bi.Mwanaidi Rajabu pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Korogwe wakishiriki zoezi hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alisema ni vyema kuitunza miti hiyo iliyopandwa ili kuweza kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi ambayo inaendelea kuwa ta
tizo katika ulimwengu
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa