Tume ya katiba na sheria yatoa semina kwa wakuu wa idara na vitengo,kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya korogwe,watendaji wa halmashauri ya Wilaya na Halmashauri ya Mji Korogwe ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo wa kuwahudumia wananchi katika haki na utawala bora.Mafunzo hayo yaliongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe.William Mwakilema akisisitiza mafunzo hayo yakawe chanya katika kutoa huduma kwa wananchi.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa