Mwaka 2019 Mwenge wa Uhuru umepokelewa na kukimbizwa umbali wa kilomita 154.6 katika Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na umepitia miradi (5), Elimu 1, Mazingira 1, Maendeleo ya Jamii (vijana) 1, Kilimo na Ushirika 1 na Maji 1. Miradi hii imefikia hatua mbalimbali za utekelezaji ambapo mradi 1 wa Elimu umekaguliwa,mradi 1 wa Maji umefunguliwa, mradi 1 wa Mazingira umezinduliwa, mradi 1 wa Vijana umekaguliwa na mradi 1 wa Kilimo na Ushirika umewekewa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Ushirika na kutembelea zana za Kilimo. Miradi hii ina thamani ya Tshs 441,433,800/=, kama mchanganuo unavyoonesha katika jedwali;
MCHANGANUO WA FEDHA ZA MIRADI
NA
|
CHANZO
|
GHARAMA
|
1
|
Serikali kuu
|
96,600,000
|
2
|
Halmashauri
|
31,700,000
|
3
|
Nguvu za Wananchi
|
34,583,600
|
4
|
Wadau/Wahisani
|
278,550,200
|
|
Jumla
|
441,433,800
|
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa