Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Ndugu Alfan Magani (juu ya pikipiki) akijaribu pikipiki tayari kwa makabidhiano kwa afisa mifugo na uvuvi wa kata ya mkalamo ndugu Adamu Ali Saidi aliyekabidhiwa pikipiki namba STM 0225 na ndugu Bonface Patrick Mushi aliyekabidiwa pikipiki yenye namba STM 0226.Aidha Mkurugenzi Mtendaji amewaasa kuzitumia kwa makusudio yaliyopangwa na kuzitunza ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa