Naibu waziri wa Maji Mhe. Eng. Kundo A. Mathew amefanya ukaguzi wa maendeleo ya Mradi wa maji unaojengwa Mswaha - Korogwe ambapo mradi huu unategemewa kuwanufaisha wananchi wa Wilaya ya Korogwe,Handeni,Muheza na Pangani.
Akitembelea eneo la kutegea maji na chujio la amaji alihimiza kuongeza nguvu ikiwemo kufanya kazi usiku na Mchana ili kukamilisha mradi huo kwa wakati,Mradi huu unajengwa na kampuni ya ADVENT kutoka India ambao walitakiwa kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha mradi huo.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa