Viongozi wa serikali za mitaa waliochaguliwa wapewa mafunzo ya utawala bora rasmi kwa ajili ya kuanza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi kwenye ngazi za vijiji.Mafunzo hayo yametolewa kwa kuzingatia tarafa zote nne ambapo viongozi mbalimbali wa kiserikali walihudhuria mafunzo hayo.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa