• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe ya watumishi |
    • Malalmiko |
Korogwe District Council
Korogwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Core Value
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasimali WAtu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Fedha na biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira Na Taka Ngumu
    • Unit
      • Tehama
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Habari na Mawasiliano Serikalini
  • Fursa Uwekezaji
    • Tourism
    • Bussness and Industrial
  • Huduma
    • Afya
    • Education
    • Maji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Social Welfare
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Permanent Council Commitee
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Community Services Committee (water,Education and Health)
      • Economic, Construction and Environment Committee
      • Integrity Committee
      • Council Multsectoral AIDS Committee
    • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Kusudiwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha

Ujenzi wa mradi wa maji Kijiji cha Mkokola kwa umeme wa jua

Posted on: February 12th, 2019

Wajumbe wa kamati ya Fedha na Mipango wakikagua mradi wa ujenzi wa kisima katika kijiji cha Mkokoloa kwa umeme wa jua. Mradi huu ni wa mwaka 2017/2018 fedha iliyotengwa na kupokelewa ni TSh. 270,000,000/= chanzo cha fedha ni World Vision Tanzania. Hata hivyo viongozi ngazi ya Kijiji waliwaeleza wajumbe kuwa mradi  huo unahudumia kaya 850 sawa na watu 2816 na una jumla ya vituo vya kuchotea maji  12. Hali halisi ya mradi umekamilika na unatumika.Hata hivyo wajumbe walishauri kamati ya maji iweke mkakati utakaowezesha mradi huo kudumu kwa wananchi kuchangia  gharama sanjati na kuweka uthibiti wa vituo vya maji ili visije vikaharibiwa ili mradi uwe endelevu. (Kutoka kushoto ni Mh. Shebila Diwani Kata ya Kerenge.)

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MADEREVA March 02, 2026
  • View All

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE MKOA WA TANGA YAHITIMISHWA KOROGWE

    March 08, 2026
  • MHE.DOROTHY GWAJIMA AFANYA ZIARA HALMASHAURI YA WILAYA YA KOROGWE

    February 23, 2026
  • WALIMU SHULE ZA MSINGI WAPATIWA MAFUNZO YA KUINUA UFAULU WA SOMO LA HISABATI NA KIINGEREZA

    February 13, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LAPONGEZA MENEJIMENTI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KOROGWE KATIKA MAKUSANYO YA MAPATO

    February 03, 2026
  • View All

Video

MAFUNZO YA WALIMU MSINGI
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Dira na Dhamira
  • Muundo wa Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya Serikali
  • Tanga Tovuti
  • Tovuti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Korogwe District Council

    Postal Address: P.o Box 584

    Telephone: 027- 2650017/2650061

    Mobile:

    Email: ded@korogwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Yetu
    • Huduma

Haki miliki©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa