Viongozi waliochaguliwa waapishwa rasmi leo kuanza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi.Makundi yalioapishwa leo hii ni Wenyeviti wa Vijiji,Wenyeviti wa Vitongoji,wajumbe mchanganyiko pamoja na wajumbe kundi la wanawake. Katika halmashauri ya wilaya ya Korogwe zoezi hili limefanyika kwa makundi katika tarafa ya Mombo,Magoma,Bungu na tarafa ya Korogwe.
viongozi hao baada ya kuapishwa walikumbushwa kuzingatia kiapo walichoapa hivyo wasitumikie madaraka yao vibaya badala yake wakafanye kazi wa Weledi bila kubagua wananchi kwa itikadi zao na dini zao
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa