Wakazi wa wilaya ya Korogwe na viunga vya jerani wamejitokeza kwa wingi kupata Matibabu ya Macho Yaliyoanza Leo hii katika Hospitali ya Wilaya Iliyopo Makuyuni.Chini ya ufadhili wa Mo dewji Foundation wakishirikiana na Halmashauri ya wilaya ya Korogwe wanaendelea kutoa matibabu mbalimbali ya Macho kwa wakazi wa korogwe.James kaniki ni Mmoja kati ya wakazi waliopata huduma hiyo.
Aidha Mganga Mkuu wa Wilaya aliendelea kuwahimiza wakazi wa korogwe na maeneo jerani kundelea kujitokeza kupata matibabu ya hayo ambayo yatafikia tamati agosti 30
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa