Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe Wakili Goodluck Mwangomango Azindua mafunzo shule bora kwa walimu wa Somo la Hisabati.Mafunzo hayo yameanza leo na kuendelea kwa muda wa siku nne,yakiazimiwa kuongeza umahiri kwa walimu wasomo la Hisabati kwa shule za msingi.
Semina hiyo inatarajiwa kuleta matokeo chanya katika kuongeza ufaulu wa somo la hisabati ambapo walimu mahiri watakuwa chachu ya kuongeza maarifa kwa walimu wengine waliopo shuleni, katika halmashauri ya wilaya ya Korogwe.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa