Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Wakili. Goodluck Mwangomango ameongoza mafunzo na kuwaapisha Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura Novemba 23, 2024 katika ukumbi wa chuo cha ualimu Korogwe
Mara baada ya kupatiwa mafunzo hayo walisema kuwa wako tayari kuendesha zoezi la uchaguzi litakalofanyika tarehe 27 Novemba 2024 kwa uadilifu na kuzingatia kanuni za uchaguzi.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa