Ninayo furaha kukukaribisha katika tovuti rasmi ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ambapo tunaamini wananchi, wadau wa maendeleo, wawekezaji, watalii na wageni mbalimbali wanapata taarifa za kuaminika za mipango na mikakati ya utoaji huduma bora za kijamii na kiuchumi kwa kutumia rasilimali zilizopo kwa ufanisi na kuzingatia utawala bora kwa ustawi na maisha bora ya jamii na wadau mbalimbali wa Halmashauri.
Upatikanaji na utoaji wa taarifa ni takwa la Kisheria kama inavyoelezwa katika Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunajivunia Halmashauri yetu na huduma mbalimbali tunazotoa kwa wananchi wetu na wadau mbalimbali. Tunashukuru kwa kutembelea tovuti yetu na tunaamini kuwa umenufaika kwa taarifa mbalimbali za utekelezaji serikalini, nakukuhakishia kuwa tutaendelea kuboresha na kuhuisha tovuti hii kwa taarifa mbalimbali kadri muda unavyokwenda ili kukidhi matarajio yako kwa ubora wa hali ya juu.
Korogwe District Council
Postal Address: P.o Box 584
Telephone: 027- 2650017/2650061
Mobile:
Email: ded@korogwedc.go.tz
Haki milikiĀ©2016 KDC Haki zote zimehifadhiwa