Posted on: July 17th, 2025
Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe uliyopo Makuyuni kikilenga kwenda kutatua changamoto za Magonjwa ya Mifugo Korogwe.
Muwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmas...
Posted on: July 1st, 2025
Mwakilishi huyo ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Korogwe amewataka wanaoendesha Mashirika yasiyo ya Kiserikali kufuata Sheria za Nchi husika na miongozo inayotolewa na Serikali wak...
Posted on: June 24th, 2025
Mafunzo haya yameanza leo katika shule ya Msingi Gereza kupitia program ya shule bora kumuunga mkono Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan yakiwa na lengo Kuhifadhi mazingira na utumiaji wa nis...